WOLPER AWAFUNGA MIDOMO WALIOKUWA WANAMSEMA

 

  • Ni baada ya kuwahakikishia kuwa penzi lake na BFF wake bado linasonga

       Mrembo Jacqueline Wolper ambaye ni star kutoka katika kiwanda cha Bongo movies ameamua kuvunja ukimya na kuwarusha roho fans wake katika mtandao wa kijamii.

Mrembo huyo ambaye hivi karibuni zilizuka tetesi kuwa ameachana na mpenzi wake aitwaye Brown, amewathibitishia kuwa ndio kwanza mambo ni fire.

“M’Tanga wangu leo hapana kupigiana simu za usiku, kulala mapema saa tano. Ulale mapema usichelewe tena safari jamani, mimi nitakonda, I miss you so much papa Brown” ameandika Wolper katika Instagram page yake.

 

Please follow and like us:

Comments

comments