WASANII WA BONGO WAZIDI KUNG’ARA

 

 http://3.bp.blogspot.com/-Q5zJ86nC4KM/Un36ODvCt5I/AAAAAAAAAPQ/GPeGvH67bwE/s1600/Coke-Studio-All-Season-Songs.jpg

  • Wasanii kutoka bongo watashiriki katika kuimba kwa mara ya kwanza ndani ya Coke Studio Afrika.

 

     Ikiwa ni msimu wa tano wa Coke Studio Afrika kurudi tena huku safari hii ukiwa na wasanii wakali kibao, guess what! This time kutoka bongo wapo wakali kibao akiwemo Izzo Business, Nandy, Bill Nass, Ali kiba na Nahreel.

Wakali hao wataonekana Kupitia Clouds TV katika show itakayoruka September 30.

Please follow and like us:

Comments

comments