New: Young Boy’s – Jiachie {Official Vdeo}

Young Boys – Jiachie Official Video

Siku hadi siku sanaa ya muziki wa Bongo Fleva inazidi kukua pia idadi ya wasanii nayo inaongezeka, muziki umekuwa na changamoto nying lakini wasanii wanaendelea kujikita zaidi ili waweze kufika level ambazo zinatakiwa.

2016, Boy Petty & Boy G. Fire wanaounda kundi la muziki linaloitwa ‘Young Boys‘ waliachia wimbo wao wa kwanza ‘Uswazi’ baad ya muda kidogo wakaachia Remix ya wimbo huo. Msimu huu mpya wa 2017 kundi hilo la ‘Young Boys’ wameamua kuja  na ngoma yao mpya ‘Jiachie’ Track Produced by Mesen Selekta, Video Directed by Jerry Mushala, location Tanzania.

Tumia dakika zako kadhaa ku- enjoy good music from here ushauri na maoni vinahitajika Cheers.

Please follow and like us:

Comments

comments