Video : Orezi X Vanessa Mdee – Just Like That

Msanii Vanessa Mdee hatimaye ameachia video ambayo ameshirikiana kwa pamoja na msanii kutoka Nigeria, Orezi nyimbo inaitwa ‘Just like that’. Video imefanyika chini ya muongozaji kutokea Nigeria Sesan. Tazama hapo chini na toa maoni yako.

Please follow and like us:

Comments

comments