Video : Barakah The Prince – Acha Niende

Msanii Baraka The Prince ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Acha niende’ video hiyo imeongozwa na director Kevin Bosco Jr kutokea Kenya. Tazama hapo chini na toa maoni yako.

Please follow and like us:

Comments

comments