UMWAGAJI DAMU LAS VEGAS

  • Ufyatuaji wa risasi Las Vegas waua watu 50 na wengine 200 kujeruhiwa wakati wa tamasha la muziki huko Marekani.

https://upload.wikimedia.org/wikipedia/commons/b/ba/2012.10.05.182901_Sign_Mandalay_Bay_Hotel_Las_Vegas_Nevada.jpg

Zaidi ya risasi elfu moja zilimiminwa kutoka katika hoteli ya Mandalay Bay na mtu anayejulikana kwa jina la Stephen Paddock mwenye umri wa miaka 64 kwenda kwenye kundi la watu waliokuwa kwenye tamasha la muziki lilikuwa likiendelea na kupelekea mauaji hayo.

Tukio hilo la mauaji linasemekana kuwa baya zaidi kuwahi kutokea nchini humo. Polisi wamesema mshukiwa ambaye alitajwa kuwa mkazi wa eneo hilo ameuawa akiwa katika sakafu ya 32 katika hotel ya Mandalay Bay na hali hiyo imepelekea uwanja wa ndege wa McCarran mjini Las Vegas kusitisha safari zake.

Please follow and like us:

Comments

comments