SANCHI AWATEMEA CHECHE WANAOMPONDA MIGUU YAKE

• Adai kuwa watu hao ni waongo na wanamuonea wivu


Mwanamitindo maarufu hapa Bongo, Jane Rimoy ‘Sanchoka’ ameamua kuwatolea uvivu watu wanaomponda mitandaoni kwa kusema kuwa ana miguu mibaya na kiudai kuwa watu hao wanamuonea wivu.

Sanchi amesema kuwa ameona watu wengi wakimponda miguu yake katika mitandao ya kijamii lakini yeye anaamini kuwa wao hawana miguu kama yake ndio maana wanaichambua.
“ Najua tatizo la wabongo kama kitu wao hawawezi kukipata basi wanasingizia kitu hicho ni kibaya, sasa hata ukiangalia miguu yangu ina tatizo gani kama sio wivu unawasumbua ni kitu gani,, waende huko” aliwaka Sanchi.

Please follow and like us:

Comments

comments