ODAMA AKANA KUJITENGA

 

  • Adai kuwa hakuna sababu ya kukutana kila mara na ni vizuri kukutanakwa ajili ya vitu muhimu

 

Bi Shost mwenye uwezo mkubwa awapo mbele ya camera, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekana kuwa anaonekana anajitenga na wasanii wenzake na kuonekana akiwa kivyake vyake.

Odama amesema kuwa yeye haamini kama anajitenga lakini kuna wakati ni lazima mtu afanye kazi zake, kwa maana sio rahisi kila muda kukutana kama ilivyozoeleka huko nyuma na kwa sasa maisha yamebadilika, So ni lazima wakutane kwa issue maalum.

“ Unajua watu hawaelewi tu, mtu anapobadili mfumo kidogo wanasema ameanza kujitenga, kitu amabcho sio cha kweli, wakati wa sasa hakiuna sababu ya kukutana kila mara, maana kuna vitu vingine vinakuwa haviendi kabisa tukiwa tunajikusanya sehemu moja kila wakati” alisema Odama.

 

Please follow and like us:

Comments

comments