New Audio: Neylee – Nishike Mkono (Wedding Day)

Neylee ameachia wimbo unaoweza kuja kuwa maarufu kwenye harusi nyingi za Kibongo. Wimbo unaitwa Nishike Mkono (Wedding Day) unaoonesha uwezo wake mkubwa katika uimbaji. Usikilize hapo chini.

Please follow and like us:

Comments

comments