MC PILIPILI AMKANA NANDY

• Awataja mastaa wengine aliowahi kutoka nao lakini sio Nandy

Mchekeshaji mahiri hapa Tzee, MC Pilipili amewaweka wazi mastaa ambao amewahi kutoka nao kimapenzi katika nyakati tofauti na kudai kuwa kati ya hao wote Nandy hajawahi kutoka naye.


Pilipili amesema kuwa amewahi kutoka na Miss Shinyanga 2014, Nicole Sarakikya pamoja na mwigizaji Rose Ndauka na sio Nandy kama watu wanavyosema.


“ Nandy ni mshakaji tu hakuna chochote zaidi ya urafiki wa kawaida, Rose Ndauka na Nicole ni kweli nimetembea nao lakini wote sio kwa sasa, wamebaki kuwa marafiki wa kawaida tu” alisema MC

Please follow and like us:

Comments

comments