MANENO YA RIDHIWANI KIKWETE KWA LISSU

  • Amshukuru Mungu na kumombea apone kabisa mbunge huyo

 

     Mwanasheria na mwanasiasa kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni mtoto wa aliyekuwa rais wa awamu ya nne Jakaya Kikwete amefunguka na kuhusiana na Lissu.

Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye hivi karibuni alipigwa risasi alipokuwa akitokea Bungeni kuelekea nyumbani kwake amaeonekana akiendelea vyema kutokana na matibabu ambayo anaendelea kuyapata huko Nairobi Kenya na huu ndio ujumbe wa Ridhiwani kwake

“Mungu hutenda wema siku zote. Ashukuliwe yeye kwa kazi ya kurejesha tabasamu katika sura yako na afya kwa wanaokuuunguza. Nimefurahi kukuona tena msomi, kiongozi wangu na mwanakamati mwenzangu wa Bunge ukitabasamuna mwenye afya njema. Mungu akulinde na akusimamie katika matibabu yako. Nategemea kukuona tena ukirudi katika afya yako” ameandika Ridhiwani.

 

 

Please follow and like us:

Comments

comments