KAJALA KUASILI MTOTO

• Adai kwa sasa hawezi kuzaa tena hivyo ni bora kuchukua motto mwingine ili amkuze


Staa kutoka Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa kwa sasa yupo mbioni kuasili mtoto katika kituo kimoja cha kulelea watoto hapa Dar es salaam.
Kajala amesema kuwa amechukua uamuzi huo baada ya kuona mtoto wake wa kwanza, Paula ameshakuwa msichana mkubwa na kwa sasa hawezi kubeba mimba.
“ Nilikuwa na wazo hilo muda mrefu sana lakini sasa naona wakati ndio umefika wa kufanya hivyo kwa kuwa naona wazi siwezi kuzaa tena, bora nimchukue mtoto kwenye kituo nimlee mwenyewe mpaka akue” amesema Kajala.

Please follow and like us:

Comments

comments