Video: Jike Shupa adendeka hadharani na msanii Asala!!

Jike Shupa & Asala

Mapenzi motomoto Couple mpya za wasanii zinazidi kuongezeka siku hadi siku, hii ni nyingine tena Video Queen aliyetokea kwenye wimbo wa ‘Jike shupa’  ya Nuh Mziwanda ft. Alikiba,  sasa ni live bila chenga.

Queen huyo amemteka kimapenzi  msanii huyo aliyeimba wimbo wa ‘Nani Zaidi’ ‘Asala, wawili hao wamethibitisha ukweli wa penzi lao kwenye umati mkubwa, watu wakati walipokuwa wakisherekea Birth Day Party ya Amber Lulu.

BK tulikuwa kwenye tukio hilo So enjoy  from here.

 

 

 

 

Please follow and like us:

Comments

comments