SPORTS

  • TURIN, ITALY - APRIL 11: Neymar Jr of FC Barcelona (R) and his teammate Lionel Messi show their dejection during the UEFA Champions League Quarter Final first leg match between Juventus and FC Barcelona at Juventus Stadium on April 11, 2017 in Turin, Italy. (Photo by Emilio Andreoli/Getty Images)

Je watavunja rekodi ya usaji wa Paul Pogba?
Manchester United wana pesa,ni kati ya timu ambazo zikikamia kukuchukua zitakuchukua tu.Dunia haikuamini kiasi United walichokitoa kumrudisha Paul Pogba Old Read more.
Leicester yaichapa Liverpool 3-1
Leicester City wamejikokota na kupanda hadi nafasi ya 15 katika msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuizaba Liverpool Read more.
Baada ya kichapo cha 2-1 Yanga imeomba radhi mashabiki
Young Africans Sports Club kupitia katibu mkuu wake Boniface Charles Mkwasa, inawaomba radhi wanachama wote, wapenzi na mashabiki wa klabu Read more.
Mavugo “Kufunga kwangu ni kutokana na kujituma na kuwasikiliza walimu”
MSHAMBULIAJI wa Simba Laudit Mavugo, amesema goli alilofunga dhidi Yanga anamzawadia bibi yake ambae yupo Bunjumbura ambae alikuwa anamuombea kwa Read more.
ROONEY AGOMA KUSEPA MAN U ……..?
Nahodha wa Uingereza Wayne Rooney anasema kuwa atasalia katika klabu ya Manchester United baada ya kuhusishwa na uhamisho wa China. Read more.
Magoli yote 14 ya mchezo wa Man City na Monaco
Usiku wa kuamkia leo imepigwa michezo miwili ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) ambapo Manchester Read more.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal amesajiliwa Sweden
Kiungo wa zamani wa Arsenal Emmanuel Frimpong amesaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na klabu ya AFC Eskilstuna ya Sweden Read more.
Mahakama yatupilia mbali rufaa ya Neymar
Sasa ni wazi kwamba mchezaji wa timu ya taifa ya Brazil na klabu ya Barcelona Neymar Do Santos anakaribia kuhukumiwa.Huku Read more.
Arsenal Yacharaza Sutton kwa mabao 2-0
Arsenal imeishinda Sutton kwa mabao 2-0 na kujihakikishia kucheza robo fainali ya Kombe la FA. Lakini walitawala kila idara na Read more.
Manchester United, AS Roma zimeibuka na ushindi Europa Ligi
Mashetani wekundu wa Manchester United wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Saint-Etienne, mabao yote ya United yamefungwa na Read more.

MAJARIBIO

HELLO SPORTS

ABOUT

Vivamus sit amet odio sed quam volutpat ullamcorper vitae at mauris. Aenean ullamcorper vestibulum sagittis. Nulla vel ornare mauris, id congue nisi. Duis ac convallis nulla. Suspendisse rhoncus, mauris eu vulputate congue, lectus felis iaculis eros, eget vehicula ipsum felis accumsan justo. Lorem ipsum dolor sit amet, consectetur adipiscing elit. Nunc urna nisl, condimentum sit amet lorem quis, facilisis molestie velit.