HAMISA NA SKENDO YA UCHIZI

• Mama yake amtupia lawama mwandishi wa habari kuwa ndiye aliyepeleka uchawi nyumbani kwao


Ile skendo inayomtafuna mwanamitindo maarufu hapa Bongo, Hamisa Mobetto kuwa ameugua uchizi imeshika sura mpya baada ya mama yake kumtupiua lawama mwandishi ambaye alikwenda nyumbani kwao siku vilipoonekana vitu vinavyohusishwa na imani za kishirikina.
Licha ya mama yake kusema hivyo Hamisa mwenyewe ameweza kufunguka na kudai kuwa ni kweli alikuwa anaumwa lakini sio uchizi kama taarifa zinavyosambaa kwenye mitandao ya kijamii.
“Ki ukweli nilikuwa naumwa nikawa ndani kwa siku kama mbili hivi, lakini kawaida tu kama ambavyo anaweza kuumwa mtu mwingine lakini hilo la uchizi mimi sie

Please follow and like us:

Comments

comments