HAMISA ADAIWA KUCHANGANYIKIWA

 

  • Inasemekana anaumwa lakini familia yake haijasema chochote kuhusiana na ugonjwa wake

 

Mwanamitindo maarufu kutoaka hapa Tzee ambaye pia ni mzazi mwenzie na Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto inasemekana kuwa anaumwa na ugonjwa wake unahusishwa na imani za kishirikina

Siku kadhaa zilizopita umati wa watu ulikusanyika nyumbani kwao Mbezi Beach, Jogoo kutokana na kusemekana kwa vitu vinavyohusishwa na imani za kishirikina jambo ambalo liliwatisha watu wengi na kupelekea kuripot katika vyombo vya habari.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram mama yake na Hamisa aliwaomba watu wamuombee mwanaye ambapo aliandika maneno kutoka katika kitabu kitakatifu cha Quran na akiwasihi watu wamuombee Hamisa.

“ Good and Evil deeds are not equal, Repel evil with what is better, then you will see that one who was once your enemy has become your dearest friend (Qur’an 41:34) pray for my adorable daughter Hamisa” aliandika mama yake na Hamisa.

Watu mbali mbali wamedai Hamisa anaumwa lakini haumwi malaria au taifodi Bali amedata kabisa na inasemekana mpaka muda huu amepelekwa kwa mashekhe ambao wanamuombea visomo mbali mbali huku mama yake akizidi kuwasihi wait waendelee kumuweka kwenye maombi yao ingawa familia yake haijatoa tamko lolote kutokana na afya yake .

Please follow and like us:

Comments

comments