FEROOZ SIZIJUI DAWA ZA KULEVYA

 

  • Ni kutokana na tetesi zake za utumiaji wa madawa ya kulevya

 

           Msanii kutoka industry ya Bongo Fleva aliyewahi kutamba na ngoma ya ‘starehe’ ‘FEROOZ’ iliyomfanya hadi kuzawadiwa gari na aliyekuwa raisi kitambo hicho ‘Benjamini Mkapa’ amekana tuhuma zinazomtafuna za kutumia dawa ya kulevya.

Ferooz amesema taarifa hizo hazitakiwa kuaminiwa kabisa kwani ni uongo mtupu na kama kuna mtu anauhakika na hilo waweke dau then akachekiwe.

“sijawahi kutumia dawa za kulevya na kama kuna mtu yeyote anayeshupalia hicho kitu na ana uhakika anaweza kuweka dau tuende tukaangalie tuakikishe ,kama natumia sawa atakuwa ameshinda na kama nitaonekana situmii niondoke na dau na jamii itakuwa imejua situmii hicho kitu”amesema ferooz

Please follow and like us:

Comments

comments