DROGBA KUKIMBIZA KATIKA MITINDO

• Hii baada ya kutangaza ku-launch brand yake mpya ya viatu vya luxury

An Ivorian professional footballer Didier Drogba ambaye anacheza kama striker katika klabu ya Phoenix Rising amezindua brand yake mpya ya viatu.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Drogba ameandika kuwa,

“Leo ni siku ya muhimu sana. Iam excited to launch my new luxury footwear brand nikishirikiana na na mdogo wangu International Jordan. Asante sana Simmon kwa picha nzuri. Kwa sasa vinapatikana exclusively ndani ya The Official self fridges and JadWorld.com” ameandika Drogba.
Mchezaji huyo pia ametangaza kustaafu kucheza soka mwishoni mwa msimu 2017-2018 akiwa na umri wa miaka 40.

Please follow and like us:

Comments

comments