Video : Seline – Jitume

 

Msanii Seline ameachia video yake mpya ya ‘Jitume’ yenye mahadhi ya inspiration  gospel aliyokwenda ku-shoot SA na Kwetu studio.

Tazama hapa

Please follow and like us:

Video : Kendrick Lamar – DNA

TDE rapper Kendrick Lamar continues the campaign for his critically acclaimed DAMN. album with an official music video for “DNA.,” directed by Nabil and The Little Homies.

http://www.missinfo.tv/wp-content/uploads/2017/04/dna-3.jpg

The clip features cameo appearances by Don Cheadle, ScHoolboy Q, and more.

Please follow and like us:

Selekta Davizo-‘Hustle Hard’ (official Music Video)

Some time inabidi uburudike na ku-refresh akili yako kwa kusikiliza ngoma mpya, hapa chini tumekuwekea Dancehall video mpya kutoka kwa  Dj Davizo wa Arusha -Tanzania wimbo unaitwa ‘Hustle Hard’ produced by Jettyman.

                                                     Enjoy From here

Please follow and like us:

Jay Moe – Nisaidie Kushare (Official Music Video)

Hit maker wa ngoma ya ‘Pesa Madafu’ Jay Moe ambaye ni mmoja kati ya wasanii wanaokubalika kwenye muziki wa Hip Hop Bongo ameachia video ya wimbo wake mpya ambao unaitwa ‘Nisaidie Kushare’ Video imeshutiwa Durban, South Africa , Director Travellah Of KWETU STUDIOS

Please follow and like us: