NDOA YA SHILOLE, KIINGILIO MIGUU YAKO

 

  • Amesema kuwa ndoa yake hatafanya siri na haitakuwa na kiingilio

 

Msanii asiyeishiwa vituko, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amesema kuwa anatarajia kufunga ndoa yake mwezi December mwaka huu na mpenzi wake Ashirafu Uchebe na haitakuwa na kiingilio kama ilivyozoeleka kwa sherehe nyingine.

Shilole amesema kuwa ndoa yake itafanyika sehemu ya wazi ambayo kila mtu anaweza kufika na kuongeza kwa anamshukuru Mungu mpenzi wake ameshalipa mahari kubwa nyumbani kwao, na kilichbaki ni ndoa tu na haitakuwa na watu maalum kama ilivyozoeleka.

“ Ndoa yangu sitafanya siri kama wanavyofanya watu wengine, nitafanya sehemu ya wazi kabisa na wala haitakuwa na kiingilio hata kidogo, maana napenda watu wote waone na washuhudie kinachoendelea” alisema Shilole.

Please follow and like us:

ROSA REE AJIBU KUJIUNGA NA LABEL YA WCB

 

  • Ni kutokana na tetesi zinazoendelea za yeye kusaini mkataba na label hiyo.

  

Mrembo ambaye ni Rapper kutoka Bongo ‘Rosa Ree’amefunguka issue inayoendelea ikidai yeye kujiunga na label ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platinumz na kudai si kweli

Rosa amesema licha ya mkataba wake na label ya the Industry kuisha lakini yeye bado ajajiunga na label nyingine yoyote ile bongo

“hatujaongea about it ,but am open to anything as long as ina manufaa kwangu but hatujaongea “amesema rosa ree

Please follow and like us:

NIKKI AFANYA COLABO NA WAZIRI NJENJE

 

  • Ni baada ya kufunguka kuhusu collabo hiyo na waziri njenje kutoka Kilimanjaro band

 

 

       Rapper kutoka bongo katika kundi la weusi nikki wa pili amefunguka kufanya kazi na moja ya msanii wa kundi la Kilimanjaro band ‘waziri njenje’ kuwa yupo vizuri kwani msanii huyo amefanya kazi na wasanii wengi tu wabongo

Nikki amedai kuwa kazi hiyo wameshafikia kiwango Fulani hivyo mashabiki wakae mkao wa kula tu.

“kwa sasa siwezi kusema wazi nitaharibu lakini kuna kitu Fulani nilikuwa nimefanya ambacho nilipata inspiration kutoka kwenye muziki wa njenje, nikakutana na mzee waziri njenje nikamshilikisha akaelewa ,kwa hivyo kutoka pale tukakipeleka next level kwa hiyo ni kitu gani na nini watu wa stay tune “amesema nikki

Please follow and like us:

NIKKI WA PILI AMUONESHA MREMBO WAKE

 

  • Ni baada ya kumpost na kuandika ujumbe ambao una ishara ya mapenzi ya dhati

 

     Msanii wa muziki wa hiphop ndani ya bongo ‘Nikki wa pili’ for the first time amewaonesha mashabiki sura ya mpenzi wake ambae inasemekana ni mama kijacho kwa sasa

Kupitia page yake ya Instagram Nikki alipost picha na kuandikia caption ambayo ilieleza wazi kudata zaidi kwa mrembo huyo.

“uko sawa na ,wote malaika na mabawa yao,wote wanakuiga we ndiyo mama yao……………..singing……”aliandika nikki

 

Please follow and like us:

KANYE WEST ARUDI MZIGONI

 

  • Ni baada ya kuonekana jukwaani akiperform kwani mara ya mwisho ilikuwa novemba mwaka jana

 

 

     Rapper kutoka nchini marekani anayefanya vizuri ulimwenguni Kanye West ameonekana kwa mara ya kwanza jukwaaani akiperform tamasha la KidCud Weekend kwani mwaka jana alifanya maamuzi yakutofanya show baada ya kuhairisha Tour yake ya Saint Pablo.

Hata hivyo Kanye hakuwa fresh kiafya tangu aghairishe show hiyo hapo nevemba ,lakini ameaamua kuwa- surprise mashabiki wake kwa tukio hilo na unaambiwa aliumiza vibaya.

Please follow and like us:

ASLAY ATEMA CHECHE

  • Ni kutokana na mashabiki wake kumjaza huku wakimfananisha na wasanii wakubwa diamond na alikiba

 

   Msanii anayetamba kwa sasa katika Industry ya Bongo Fleva Aslay Isihaka aka Aslay amefunguka kuwa kwasasa anakazi kubwa ya kufanya na sio kufananishwa

Aslay amedai kuwa kwasasa anapaswa kufanya kazi kubwa ili kuwafikia wasanii na watu wanaomlinganisha kwani wanaposema hivyo watafanya alewe sifa na kubweteka kutokana na maneno yao

“kwanza mimi huwa sipendi kufananishwa na wasanii wakubwa,kwasababu kwanza ukinifananisha unanifanya akili yangu ilale ,halafu mimi mwenyewe najiona sijafika sehemu fulani na hata meneja wangu na watu wanaonizunguka wanasema bado sijafikia sehemu aliyofika Alikiba au Diamond ,huo utakuwa uongo kusema eti Aslay kafika level ya Alikiba na Diamond au msanii yoyote ambaye ameshavuka mipaka ya nchi na kupeleka muziki na watu wakampenda bado sijafikia hatua hiyo” Alisema Aslay

Please follow and like us:

WABONGO WANAFORCE NDOA ,DUDU BAYA

 

  • Ni baada ya kusema kuwa wanawake wengi wa bongo wanalazimisha ndoa

 

 

    Rapper mkongwe kutoka Industry ya muziki wa bongo “Dudu Baya” amefunguka kuwa wanawake wa Tanzania wana kawaida ya kulazimisha ndoa .

   Amesema wanawake wengi wanapopata ujauzito hata kama ni bahati mbaya na kudai kuwa suala hilo haliingii akilini kwani walipokutana hawakukubaliana kuoana.

“mimi mwanamke wangu ni bapa ,wanawake wa kitanzania ukishampa mimba ndo kashalazimisha ndoa,suala la ndoa ni makubaliano na kama ukimuacha ndo anaenda kukupiga misumari,” alisema dudu baya

Please follow and like us: