LADY IN RED 2017 ILIVYO FUNIKA KING SOLOMONI HALL JUMAMOSI

Mambo yalikuwa ni mazuri sana ndani ya King Solomoni Hall, usiku wa 11/2/2017 lilikuwa ni tukio zito tena lenye furaha na faraja kwa wadau mbalimbali wa mitindo hapaTanzania. Lady In Red 2017 imekuwa ya kipekee zaidi baada ya wadau wengi kuitikia wito. Kwenye hiyo, Fashion Show wabunifu walioshiriki usiku huo walionekana kufanya vizuri zaidi. 

Kwa upande wa Wabunifu ukweli walijipanga na kila mmoja alijaribu kutumia ujuzi wake katika kubuni kazi nzuri, hata wale upcoming Designers, walijitahidi kuandaamavazimazuri kiasi kwamba ilikuwa ni ngumu kujua nani upcoming na nani nimzoefu katika Tasnia hiyo, hongera yao. Red carpet ili ng’ara na ku-shine zaidi coz watu walijipatia picha nzuri za kumbukumbu, bilakusahau interviews kutoka kwenye media tofauti tofauti za hapa Bongo.

Kumbuka Show hii huandaliwa na Mama wa Mitindo maarufu kama
Asya Idarous Khamsin, akishirikiana na wabunifu wengine. Katika Show hiyo walikuwepo designer wengi + models kama Martin Kadinda,Rukia Walele, Agusta Masaki,Kulwa Mkwandule,  Ally Remtula, JamesMaunda,
PaulinaMgeni, Omary Rashidi, Agness Bwagilo, Kasikana, na wengine kibao.
Hivyo ndivyo mambo yalivyo kuwa Tazama picha za tukio hapa 
by Victor Petro.

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Please follow and like us:

WIZ KHALIFA AMCHAPA KISS ZITO AMBER ROSE KWENYE RED CARPET!

Jibril Thomaz, maarufu kama Wiz Khalifa, ambaye ni American rapper, songwriter, and actor, Jumamosi iliyopita amefanya balaa jingine kwenye umati wa red carpet ya pre-Grammy akiwa na mrembo Amber Rose.

Ilikuwa ni siku pendwa kabisa coz it was a weekend 11 Feb, 2017 the former couple nchini Marekani ya Wiz Khalifa and Amber Rose ilionekana kupamba moto baada ya wawili hao kutoka out na kuelekea kwenye  pre-Grammy party iliyo fanyika pale Beverly Hills.

Couple hiyo ili-trend kwenye red carpet baada ya Wiz Khalifa na mpenzi wake kuchapana kiss nzito nzito kwenye umati huo, look at the top photo hivyo ndivyo mambo yalivyo kuwa. Kumbuka Wiz and Amber wana mtoto wa kiume ambaye jina lake ni Sebastian.

By Victor Petro.

 

 

 

 

 

Please follow and like us:

VIDEO: KAULI YA LEMUTUZ KWENYE SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA

Moja kati ya mastaa wakubwa kwenye mitando ya kijamii like instagram hapa Bongo ni pamoja na Lemutuz’ hata ukijaribu kutembelea Insta-profile yake utakutana na maelezo haya, 2016 BEST INSTA. AWARDS EDUCATIONAL PAGE – AFRICA SWAHILI RADIO & TV -Permanent Ambassador.

Ok! Baada ya sakata la biashara ya madawa ya kulevya kuendelea kupamba moto katika jiji la Dar es salaam Baabkubwa Magazine tumemnyaka Le Mutuz Nation ili kupata mawazo yake kuhusiana na suala hilo, hapa tumekuwekea video ya Lemutuz akizungumza kuhusu Biashara ya madawa ya Kulevya…..#The return of baabkubwa Magazine 2017 Don’t miss by Victor Petro.

Please follow and like us:

HIKI NDIO ALICHO KIANDIKA WEMA SEPETU BAADA YA KUPATA PIGO ZITO LA MADAWA

Baada ya Mcheza filamu wa kike hapa Bongo ambaye aliwahi kuwa Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu, kupata pigo zito katika maisha yake, hiki ndicho alicho amua kufunguka kwa Watanzania kupitia Acount yake ya Instagram. #The return of Baabkubwa Magazine 2017 Don’t by Victor Petro.

“Mimi na familia yangu tunapenda kuchukua fursa hii kutoa shukrani zetu za dhati kwa wote mlioshirikiana nasi kwa hali na mali katika kipindi hiki kigumu tulichopitia. Najua wengi mlikua mnaniombea, nashukuru kwa sala na dua zenu kwani zimenisaidia kwa kunipa nguvu wakati nikiwa kwenye wakati mgumu sana kwenye maisha yangu.

Napenda kuwashukuru mashabiki wangu wote duniani kwa kuniamini na kusimama na mimi kwa kipindi chote hiki, pia napenda kuwashukuru wasanii wenzangu wote. Asante sana kwa mwanasheria wangu Alberto Msando kwa kunisimamia na kuwa na mimi bega kwa bega wakati huu mgumu. Nakuombea kwa Mungu akupe moyo huohuo wa kuwatetea wanyonge. Asante sana.
Familia ya marehemu Mzee Issac Sepetu”

Please follow and like us:

PAUL MAKONDA AKIONESHA MAJINA MENGINE 97

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda akionyesha majina mengine 97 ya wafanyabiashara wa Dawa za Kulevya awamu ya tatu kwa Bw. Rogers William Siangakamishna Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia na Kupambana na Dawa za Kulevya ili yaanze kushughulikiwa amesema awamu hii itaitikisa nchi kwani wameanzia toka awamu ya tatu iliyoongozwa na Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi, ya nne Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete na hii ya Tano inayoongozwa na Rais Dk. John Pombe Magufuli, Katika mkutano uliofanyika kwenye ukubi wa Mwalimu Nyerere JNCC

Please follow and like us: