KAJALA : SIHITAJI KIKI

http://www.bongomovies.com/wp-content/uploads/2017/04/kajala67.jpg

Kajala Masanja ameelezea kuchukizwa kwake na watu wanaosema anatembea na waume za watu, alieleza kuwa hapendi kiki hizo kwani hazimsaidii chochote zaidi ya kumharibia kwenye jamii.

Akizungumza na Ijumaa amesema wengi wapo radhi kutengeneza kiki kama hizo za kuchukuliana mabwana lakini yeye sio mmoja wao na wala hazitaki.

“kiki kama hizo sizitaki kabisa kuzisikia kwanza zinaniharibia wala hazinijengi chochote kwenye jamii yangu”

Please follow and like us:

ZILIZOTREND ZIKILETWA KWAKO NA POPKUBWA

http://baabkubwa.co.tz/wp-content/uploads/2017/09/PopKubwa-Logo.jpg

Umeisikia ya Jammie Foxx na Mike Tyson? Erick Omondi kumchana live Khaligraph Jones. Dj Khalid amfollow Diamond Platnumz. Manager wa Tupac asema Tupac bado yupo. kwa habari hizi kiundani zaidi bofya link hapo chini.

Please follow and like us:

BAABKUBWA INAKULETEA ZILIZOTREND KUPITIA POPKUBWA

http://s3.hulkshare.com/avatar_images/original/a/1/a/a1a50454a7c2c7c3c227fe02cc780cf6.jpg?dd=1388552400

Umeisikia ya Selena kubadilishiwa figo? Taylor Swift naye kumbe anaiba mistari? Kutoka kwenye Soka hadi masumbwi? Lina awajibu waliomdiss. Messi afanya kufuru

Huu ni mkusanyiko wa habari motomoto zilizotrend mitaondi na kwenye headlines mbalimbali, na zinaletwa kwako kupitia POPKUBWA ya BAABKUBWAA!!

KUTAZAMA POPKUBWA BOFYA HAPA!!

Please follow and like us:

PopKubwa inakuletea Zilizotrend leo!!

http://s3.hulkshare.com/avatar_images/original/a/1/a/a1a50454a7c2c7c3c227fe02cc780cf6.jpg?dd=1388552400

Hamisa Aliamsha Dudeeeee!! , Harmonize: Kila Mtu apambane na mahusiano yake , Wayne Royne kutoendesha gari kwa miaka miwili?
BaabKubwa kupitia POPKUBWA inakuletea habari zilizotrend na kukamata HeadLines Mbalimbali dunia.

KUTAZAMA POPKUBWA BOFYA HAPA!!

Please follow and like us:

Serikali yalifungia Gazeti la Mwanahalisi

http://www.channelten.co.tz/wp-content/uploads/2017/09/Kube-620x309.jpg

Gazeti la MwanaHalisi limefungiwa kwa mara nyingine tena na serikali ya TZ na safari hii litatumikia kifungo hicho kwa muda miaka miwili kwa kosa la kuchapisha habari za uchochezi na uongo ambazo zinaweza kuhatarisha usalama wa Taifa.
Mwanahalisi linakuwa gazeti la pili kufungiwa katika kipindi cha miaka minne.

Please follow and like us:

Video: Barnaba – Mapenzi Jeneza

Baada ya kuachana na mpenzi wake walioishi kwa zaidi ya miaka 9 na kuapata mtoto mmoja (Steve) msanii Barnaba kutoka High Table Sounds ametualika kusikiliza hisia zake kupitia wimbo huu uitwao Mapenzi Jeneza. Video imetengenezwa na Director Joowzey.

https://4.bp.blogspot.com/-fXMdx9LEurk/WaVVrpf41TI/AAAAAAAAY-M/52CWlsrFsyEdHGoLrG3-RMCrr_r_SC-PQCLcBGAs/s1600/Mapenzi-Jeneza.jpg

KUITAZAMA BOFYA HAPA

Please follow and like us:

Video : Jay Moe ft Ke’miller – Me And You

Yule mkongwe wa Hip Hop Bongoland, aliyewahi kuimbisha taifa na ngoma zake kali kama Bishoo, Jua na Mvua, pesa madafu, nisaidie kushare ambaye pia amejipatia jina la Mr. Famous kutokana ngoma yake aliyofanya na producer Majani amekuja tena na ngoma flani hivi ya mapenzi akiwa amemshirikisha mwanadada ke’miller.

https://2.bp.blogspot.com/-s5EWZuYL66s/Wbp7oFasHsI/AAAAAAAAZbY/Uf-eEL_45Go9n0zkmaD0QJelHUZo6hhdACLcBGAs/s1600/Jay-Moe.jpg

KUITAZAMA BOFYA HAPA

Please follow and like us: